HOT PICHAZZ..!! MASTAA WA BONGO MOVIE WAJIACHIA KWA POZI, JIONEE PICHA ZOTE

UZURI HAUJIFICHI: Hawa ni miongoni mwa warembo kwenye tasnia pendwa na wadada wengi hapa nchini, tasnia ya filamu za kibongo.Wakiwa kwenye “pozi” moja lakini katika “moment” tatu tofauti.Warembo hawa, Jackline Masawe “Wolper”, Kajala Masanja na Irene Uwoya walidondosha picha  hizi tatu mtandaoni juzi kati, nakufanya mashabiki kumwaga “likes” za kutosha  huku kila mtu aki-“comment” kile anachoona inafaa ilimradi kuelezea hisia na mtazamo wake.

HOT PICHAZZ..!! MASTAA WA BONGO MOVIE WAJIACHIA KWA POZI, JIONEE PICHA ZOTE HOT PICHAZZ..!! MASTAA WA BONGO MOVIE WAJIACHIA KWA POZI, JIONEE PICHA ZOTE Reviewed by Unknown on 1:53:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.