TAZAMA HII VIDEO JINSI MVUA ILIVYODHALILISHA UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM..WAVUJA KINOMAAA


Aibu Kubwa Imetokea Katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar  baada ya Mvua Kubwa Anayonyesha Kuvuja Ndani ya Sehemu ambapo Abiria wa Mataifa mbali Mbali ukaguliwa Tickets zao Kabla ya kuingia Kwenye ndege, tukio hilo limeshuhudiwa na Raia mbali Mbali Kutoka nchi tofauti waliokuwa wakifanya ukaguzi waTickets zao..

Angalia Video ya Aibu Hapa:
TAZAMA HII VIDEO JINSI MVUA ILIVYODHALILISHA UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM..WAVUJA KINOMAAA TAZAMA HII VIDEO JINSI MVUA ILIVYODHALILISHA UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM..WAVUJA KINOMAAA Reviewed by Unknown on 5:38:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.