HOT PICHA..!! WEMA , ANT EZEKIEL NA RAFKI ZAO WATUPIA PICHA MTANDAONI WAKIWA KWENYE POZI MATATAA


Boxing Day Moments: Baada ya hapo jana kuwa kwenye pilikapilika za siku kuu leo wengi wetu tumepumzika na kupiga stori za hapa na pale na jamaa zetu.Turudi kwenye mada.
Leo nilipoziona picha hizi za wadada hawa, Wema  Sepetu, Aunty Ezekiel na rafiki yao Nice Chande wakiwa wamejilaza kitandani namna hii kwa haraka haraka nikahisi huu utakuwa ni uchovu wa siku kukuu kwani wanaonekana kama wapo “Cool” sana.Ila nilipotulia kidogo nikaona kitu ambacho  ndicho kilichonifanya hizilete hapa picha hizi ili wote kwapamoja tulione hili.
Kitu chenyewe ni kuhusu Aunty Ezekiel, Hebu mcheki vizuri maeneo ya tumboni umeona nini? Unahisi itakuwa nini hiyo?!! Au pilau la sikukuu tu….hehehe!!!
By Mzee wa Ubuyu
HOT PICHA..!! WEMA , ANT EZEKIEL NA RAFKI ZAO WATUPIA PICHA MTANDAONI WAKIWA KWENYE POZI MATATAA HOT PICHA..!! WEMA , ANT EZEKIEL NA RAFKI ZAO WATUPIA PICHA MTANDAONI WAKIWA KWENYE POZI MATATAA Reviewed by Unknown on 11:38:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.