SIRI YAFICHUKA..!! UKWELI WA "FUMANIZI" LA PATCHO MWAMBA HUU APA, TAZAMA VIDEO

KUTOKANA na kuwepo kwa minong’ono juu ya mwanamuziki mwenye asili ya Kongo, Patcho Mwamba kudaiwa  kufumaniwa na mke wa mtu na kisha kudundwa na kutoka  manundu, GPL limefanya  mahojiano na msanii huyo na kupata ukweli kuhusu ‘fumanizi’ hilo. Angalia video hiyo hapo juu mwenyewe.

SIRI YAFICHUKA..!! UKWELI WA "FUMANIZI" LA PATCHO MWAMBA HUU APA, TAZAMA VIDEO SIRI YAFICHUKA..!! UKWELI WA "FUMANIZI" LA PATCHO MWAMBA HUU APA, TAZAMA VIDEO Reviewed by Unknown on 2:58:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.