MAAJABU YA DUNIA, TAZAMA REKODI ZILIZOWEKWA NA WATU MBALIMBALI DUNIANI 2014


Hii ndio baiskeli kubwa zaidi duniani kuwahi kutokea imetengenezwa huko nchini denmark na huyo mzee imeingia katika Guiness World Record 2014.


Pikipiki kubwa zaidi Duniani, imetengenezwa huko inchini Marekani lakini bado haidaanza kuwa na uwezo wa kutembea ila imeingia katika Guiness World Record 2014.


Huyu Jamaa ameingia kwenye Guiness World Record 2014 ya mwaka huu kwa kula pilipili kali 5000 ndani ya saa moja, ni mmarekani.
MAAJABU YA DUNIA, TAZAMA REKODI ZILIZOWEKWA NA WATU MBALIMBALI DUNIANI 2014 MAAJABU YA DUNIA, TAZAMA REKODI ZILIZOWEKWA NA WATU MBALIMBALI DUNIANI 2014 Reviewed by Unknown on 10:36:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.