Unasemaje kuhusu Mwanaume Kupiga magoti mbele za watu kama kwenye hiyo picha nakuomba msamaha kwa mpenzi wake? Je ni Uzoba ama Mapenzi ya Kweli ?