LULU WA BONGO MOVIE..!! HAKUNA MTU ANAWEZA KUCHUKUA NAFASI YAKO KAMA UPO KWENYE NAFASI YAKO

Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
LULU WA BONGO MOVIE..!! HAKUNA MTU ANAWEZA KUCHUKUA NAFASI YAKO KAMA UPO KWENYE NAFASI YAKO LULU WA BONGO MOVIE..!! HAKUNA MTU ANAWEZA KUCHUKUA NAFASI YAKO KAMA UPO KWENYE NAFASI YAKO Reviewed by Unknown on 9:48:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.