KWA TUKIO HILI DIAMOND PLATNUMZ ANASTAHILI PONGEZI,TAZAMA VIDEO YA WANAFUNZI WA CHUO CHA FLORIDA MAREKANI WAKICHEZA "NGOLOLO DANCE"

Video ya wanafunzi wa awali wa lugha ya Kiswahili wakishiriki katika mradi wa mwaka 2014 unaoitwa African Language Initiative (AFLI) katika chuo kikuu cha Gainesville, Florida, Marekani. Baada ya kujifunza Kiswahili kwa miezi sita, waliamua kutengeneza filamu hii fupi kama kumbukumbu ya muda mzuri waliokuwa nao kwenye mradi huo ulioongozwa na Wakenya Filipo Lubua, John Munyui, na Brenda Wawire
KWA TUKIO HILI DIAMOND PLATNUMZ ANASTAHILI PONGEZI,TAZAMA VIDEO YA WANAFUNZI WA CHUO CHA FLORIDA MAREKANI WAKICHEZA "NGOLOLO DANCE" KWA TUKIO HILI DIAMOND PLATNUMZ ANASTAHILI PONGEZI,TAZAMA VIDEO YA WANAFUNZI WA CHUO CHA FLORIDA MAREKANI WAKICHEZA "NGOLOLO DANCE" Reviewed by Unknown on 9:01:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.