P DIDY ASHUSHIWA MATUSI YA NGUONI BAADA YA KUMPOST MTOTO WAKE INSTAGRAM!!

Rapper Diddy kwenye sikukuu za Christmas ambapo aliamua kula na ex- mkewe wake Kim pamoja na watoto wake wote katika yatch yake.Kama ujuavyo mastaa wengi huwa na Tabia 
ya kupost picha kwenye mitandao ya kijamii sasa baada ya Didy kupost picha yake akiwa wanawe ambaye mmoja wao alikuwa kavaa bikin ambayo sio size yake alipata matusi ya \nguoni toka kwa mashabiki wake na ilikuwa kama hivi

P DIDY ASHUSHIWA MATUSI YA NGUONI BAADA YA KUMPOST MTOTO WAKE INSTAGRAM!! P DIDY ASHUSHIWA MATUSI YA NGUONI BAADA YA KUMPOST MTOTO WAKE INSTAGRAM!! Reviewed by Unknown on 1:12:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.