MATUKIO PICHA..!! BEATIFUL ONYINYE "WEMA SEPETU" ATAMBULISHA WASANII WAKE WAPYAAA..TAZAMA PICHA ZOTE ZA TUKIO HAPA

Ally Luna akiwa na Wema Sepetu.
Ally Luna ni msanii mpya ambae yuko chini ya usimamizi wa kampuni ya Endless Fame mwigizaji Wema Sepetu usiku wa kuamkia dec 29 alitambulishwa rasmi kwa mashabiki kwenye ukumbi wa Kibo Complex uliopo Tegeta Dar es Salam.
Event hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali akiwemo , Izzo Bizness, Barnaba, Bob Junior, God Zilla, Mirror na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo.


Ally Luna akiwa na Tonny.


Wema Sepetu akiwa na Aunt Ezekiel.


.


.


.


(Kushoto) Petiman, Martin Kadinda, Aunt Ezekiel wakiwa na Ally Luna.


God Zilla.


Barnaba kwenye Stage.


Petiman kwenye stage (mshehereshaji).


Izzo Biznesss.


.


Bob Junior.


Mirror.


.


.


Ally Luna kwenye Stage.


.


Soud Brown Kutoka CloudsFM alishare siku yake ya kuzaliwa katika event hiyo.
MATUKIO PICHA..!! BEATIFUL ONYINYE "WEMA SEPETU" ATAMBULISHA WASANII WAKE WAPYAAA..TAZAMA PICHA ZOTE ZA TUKIO HAPA MATUKIO PICHA..!! BEATIFUL ONYINYE "WEMA SEPETU" ATAMBULISHA WASANII WAKE WAPYAAA..TAZAMA PICHA ZOTE ZA TUKIO HAPA Reviewed by Unknown on 3:00:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.