BIFU LA DAVIDO NA WIZKID LIMEISHA, JE LA ALLY KIBA NA DIAMOND LINAISHA LINI??


Ni ugomvi uliodumu kwa muda mrefu kati ya hawa wasanii wadogo wa nigeria tangu nyuma walipoanza kazi zao za usanii.

awali wawili hao walikutwa wakiwa na furaha tele kwenye birthday ya kaka yake davido, kitu kilichowapush waandishi kupata akshi ya kujua nini kinaendelea.

Davido alidai tofauti zao zimekwisha na watu waliweka suluhisho ni watu wenye pesa zao wa nchi hiyo, hakutaka kuwataja majina ila tu ni kwamba kuna kikao kiliandaliwa na matajiri hao chenye nia ya kuondoa ofauti kati ya davido na wiz-kid, pia davido alinukuliwa akisema uwezekano wa collabo na wiz-kid yawezekana ukawepo.

Tukija huku Tz kumekua bado kuna hali ya utata hasa kati ya Diamond na Ally .k na hakuna tetesi zozote zinazosikika ikiwa kama kuna mpango wa kuondoa tofauti kati yao
BIFU LA DAVIDO NA WIZKID LIMEISHA, JE LA ALLY KIBA NA DIAMOND LINAISHA LINI?? BIFU LA DAVIDO NA WIZKID LIMEISHA, JE  LA ALLY KIBA NA DIAMOND LINAISHA LINI?? Reviewed by Unknown on 1:28:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.