LINEX MJEDA APIGA SHOW YA NGUVU FUKWE ZA COCOBEACH, JIONEE UMATI WA WATU ULIVOFULIKA NA PICHA ZA MATUKIO HAPA

Mwanamuziki Linex akikamua na kushangiliwa na mashabiki wake.
Umati wa watu ulifurika katika viwanja hivyo vya Coco Beach.
Farasi huyu alikuwa moja ya vivutio ufukweni hapo.
MAMIA ya wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walifurika katika ufukwe wa Coco Beach ili kupata burudani mbalimbali, hususani muziki,   kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ambapo Kampuni ya Vodacom  ilifanya tamasha kubwa sehemu hiyo iliyovutia watu wa kila aina
LINEX MJEDA APIGA SHOW YA NGUVU FUKWE ZA COCOBEACH, JIONEE UMATI WA WATU ULIVOFULIKA NA PICHA ZA MATUKIO HAPA LINEX MJEDA  APIGA SHOW YA NGUVU FUKWE ZA COCOBEACH, JIONEE UMATI WA WATU ULIVOFULIKA NA PICHA ZA MATUKIO HAPA Reviewed by Unknown on 2:14:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.