
Usiku wa  tarehe 18, jiji la Kampala 
nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa 
buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose Chameleone iliyofahamika 
kama  1Man Show Million na Pati ya mwanamama Zari iliyofahamika kama 
Zari All White Ciroc Party.
Mwigizaji Wema Sepetu na mwanamziki Diamond Platnumuz wote walitua nchi humo na kugawana  matukio hayo kama ifuatavyo;
Wema Sepetu ambae anadai ni amekuwa 
shabiki mkubwa wa masanii Jose Chameleone alitokea nchini Ghana na kutua
 jijini Kampala kuhudhuria show ya mwanana mziku huyo ambayo ilifanyika 
Serena Hotel.
Wakati Diamond Platnumz ambae kwasasa ana “Le Project” na mwanamama Zari alihudhulia pati ya Zari kama “Special Guest”.
Baadhi ya watu wamechukulia kitendo hiki
 ni kama mwanadada Wema “Amepaniki” hivi, Huku wengine wakisema kuwa 
Wema ana uhuru wakufanya kile anachokitaka bila ya kuhofia watu 
watasemaje.
Jambo hili halijatokea kwa bahati mbaya 
kwani wiki kadhaa zilizopita, Diamond alipoonyesha kum-support Zari 
kwenye pati yake,Wema nae alibuka na kum-support Jose. Kama unavyoona 
hapa chini.
Maoni yako tafadhari, Je wawili hawa wanatafutana au wanarushana roho?!!
Wema Na Diamond Wafurahia Usiku Mmoja Jijini Kampala,Uganda 
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
2:42:00 PM
 
        Rating: 
      
 
        Reviewed by Unknown
        on 
        
2:42:00 PM
 
        Rating: