HII NI KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP, IFAHAMU APPLICATION MPYA YA WHATSAPP INAYOKUWEZESHA KUPIGA SIMU NA KUPOKEA SIMU

WhatsApp inajipanga kuongeza upigaji na upokeaji simu (voice calls) kwenye app yake kwa mara ya kwanza. 



Watumiaji wa app hiyo wataweza kupiga simu kwa watu walionao kwenye contacts vile vile kama wanavyoweza kuwatumia ujumbe.

Mtandao wa Uholanzi, AndroidWorld umeweka screenshots za majaribio ya huduma hiyo.
HII NI KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP, IFAHAMU APPLICATION MPYA YA WHATSAPP INAYOKUWEZESHA KUPIGA SIMU NA KUPOKEA SIMU HII NI KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP, IFAHAMU APPLICATION MPYA YA WHATSAPP INAYOKUWEZESHA KUPIGA SIMU NA KUPOKEA SIMU Reviewed by Unknown on 9:22:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.