AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva
watatu wa bodaboda.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.
... Gari Likiendelea kuteketea kwa moto.
GARI aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo Bunju B, Dar na gari hiyo kuchomwa moto na wananchi!
AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR AJALI YAUA WATATU BUNJU B, DAR Reviewed by Unknown on 1:16:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.