Video:Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania

Diamond AsindikizwaAirport  Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali 

Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania Hata Yesu walimkataa kwao, walimpiga mawe na kusema kuwa hawawezi kufundishwa na mtoto wa fundi selemara na mwisho wakamtundika hadi kufa, lakini baadae alifufuka na mwishowe akawaokoa. Sasa ndio tunachokifanya watanzania kwa Diamond, yaani hatumkubali lakini anatuletea heshima kwa taifa letu, Tubadilikeni na tusiwe kama wayahudi.

Watch Video:
BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO 
Video:Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania Video:Diamond AsindikizwaAirport Kwa Msafara wa Polisi Huko Mombasa-Tusipomkubali Watamkubali Tujifunze Kuthamini Vizuri vyakwetu Watanzania Reviewed by Unknown on 1:08:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.