KUMBE WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ BADO WANAENDELEA NA.................................???!!!

Inaonekana Wema Sepetu wadhungu wanasema 'Never Over it' yaani bado ajamaliza ishuyake na mpenzi wake wa zamani Diamond Platnumzambaye juzi juzi alimwita kaka kwa ku-share kwenye Official blog yake ya Bestizzo kwa kuweka picha mpya za mchumba wake huyo wa zamani na kushare kwenye Social Network,haijajulikana sababu hasa ya Wema Ku-share picha hiyo wakati event hiyo ilishafanyika kitambo tu tena hata baada ya msimu mpya wa "In My Shoes" akiwa tayari ameshaachana na Diamond

Ile StizzoFlava unayoipata kwenye macho yako kupia picha za Bestizzo ndo hii hapa, nimekuwekea picha za Birthday ya Diamond Platnumz zenye #StizzoFlava


Wema #MakeupTime 



Wema Sepetu


Wema #Selfie…


Wema #Selfie…


Diamond & Wema…



Diamond, Wema & Mama Naseeb 

KUMBE WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ BADO WANAENDELEA NA.................................???!!! KUMBE WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ BADO WANAENDELEA NA.................................???!!! Reviewed by Unknown on 7:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.