JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka  kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha kutovaa chochote.
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema 
akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi
JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI JOKATE: NASIKIA RAHA KUKAA UTUPU NIKIWA CHUMBANI Reviewed by Unknown on 12:14:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.