DAVIDO,WIZKID WAMALIZA BIFU LAO

Mastaa wa nchini Nigeria,Davido na Wizkid wanaida kumaliza bifu lao lililodumu kwa miezi kadhaa la kutupiana vijembe kwenye mitandao na interview kadha walizofanyiwa.

Wiz na Davido wamekutana ndani ya Escape Night Club iliyopo Ilorin huko Nigeria na picha zinaonyesha wakiwa kama washkaji
DAVIDO,WIZKID WAMALIZA BIFU LAO DAVIDO,WIZKID WAMALIZA BIFU LAO Reviewed by Unknown on 1:27:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.