HII NI KALI KULIKO...WAFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA

Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea. Kwa ambao umri unaruhusu, video ya harusi hiyo inaonekana hapa
Maharusi hao wakidansi uchi baada ya kufunga ndoa.
 
HII NI KALI KULIKO...WAFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA HII NI KALI KULIKO...WAFUNGA HARUSI WAKIWA WATUPU KABISA KAMA WALIVOZALIWA Reviewed by Unknown on 11:41:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.