BAADA YA KUPIGWA CHINI NA DIAMOND PLATNUMZ WEMA SEPETU SASA ATUA NCHINI GHANA KUFANYA KAZI NA VAN VICKER


Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.
Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa tutakujuza.
ILA KWA SASA TUACHE PROJECT IENDELEE
BAADA YA KUPIGWA CHINI NA DIAMOND PLATNUMZ WEMA SEPETU SASA ATUA NCHINI GHANA KUFANYA KAZI NA VAN VICKER BAADA YA KUPIGWA CHINI NA DIAMOND PLATNUMZ WEMA SEPETU SASA ATUA NCHINI GHANA KUFANYA KAZI NA VAN VICKER Reviewed by Unknown on 11:38:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.