JIONEE HAPA MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS...




Inaweza kuwa ni ajabu sana kwako kuona mchekeshaji huyu mwenye bwembwe na vituko vingi kumuwekea mikono Adam mchovu na kumuombea serious, wakati mwingine mpaka leo watu hawaamini kwamba masanjaameokoka na yupo serious na anachokifanya. wakati mwingine watu hucheka sana kusikia masanja akijiita Pastor to be, au mchungaji mtarajiwa, wengi bado kwao ni kama uigizaji. lakini the truth is masanja yupo serious kabisa hata kama huamini anachokifanya.

JIONEE HAPA MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS... JIONEE HAPA MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS... Reviewed by Unknown on 4:35:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.