MTANGAZAJI JERRY MURO KUZUA BALAA JIPYA




Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina aliyo nayo rais kikwete. Ameyasema hayo asubuhi alipokuwa katika kipindi cha asubuhi kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv. Akiongea kwa jazba amesema haogopi yeyote na amejitoa mhanga.
MTANGAZAJI JERRY MURO KUZUA BALAA JIPYA MTANGAZAJI JERRY MURO KUZUA BALAA JIPYA Reviewed by Unknown on 12:51:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.