SHILOLE AMPIGA MAKOFI MPENZI WAKE NUHU MZIWANDA==>>STEVE NYERERE NA MABAUNSA WASHINDWAKUUAMUA UGOMVI



Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.
sikiliza You Heard ilivyokua ndani ya Kipindi cha Power BreakFast :
SHILOLE AMPIGA MAKOFI MPENZI WAKE NUHU MZIWANDA==>>STEVE NYERERE NA MABAUNSA WASHINDWAKUUAMUA UGOMVI SHILOLE AMPIGA MAKOFI MPENZI WAKE NUHU MZIWANDA==>>STEVE NYERERE NA MABAUNSA WASHINDWAKUUAMUA UGOMVI Reviewed by Unknown on 10:09:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.