VITA YA MSANDO NA LE MUTUZ YAENDELEA==>>AMPOST AKIWA KWENYE PARTY YA WANAFUNZI WA SEKONDARY

After School Bush Escape one
Mtandao wa Instagram umezidi kujipatia umaarufu wa kipekee hapa Bongo kwani ndio imekuwa sehemu kuu kwa sasa kwa mastaa na watu maarufu kurushiana vijembe vya kila aina, Ule msutano wa Mwanasheria Alberto Msando na Super Staa Lemutuz Uliosababishwa na Kopo la Coca Cola Bado Unaendelea ..
Mwanasheria Alberto Msando Amepost picha hiyo hapo juu kwenye Page yake ya Insta na Kuandika yafuatayo:


VITA YA MSANDO NA LE MUTUZ YAENDELEA==>>AMPOST AKIWA KWENYE PARTY YA WANAFUNZI WA SEKONDARY VITA YA MSANDO NA LE MUTUZ YAENDELEA==>>AMPOST AKIWA KWENYE PARTY YA WANAFUNZI WA SEKONDARY Reviewed by Unknown on 10:32:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.