UTATA==>>SISTER WA KANISA KATOLIKI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME


Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italyaliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.

Sister huyo mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha Santa Chiara Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali ya tumbo baadaye alianguka, madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.


Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.

Tukio linalofanana na hili lilitokea mwaka jana baada ya sister mmoja wa Salvador ambaye umri wake ni miaka 33 ambaye alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Papa Francis
UTATA==>>SISTER WA KANISA KATOLIKI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME UTATA==>>SISTER WA KANISA KATOLIKI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME Reviewed by Unknown on 9:53:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.