"KUNA TATIZO GANI LIPUMBA KUPIGWA?.....NAWAPONGEZA SANA POLISI"==>>HII NDIYO KAULI YA LUSINDE BUNGENI

Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa
Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa
Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni wanakuwa na hamsha hamsha ili wafikiriwe
Lusinde: Nawashauri wapiga debe mkiona watu wanaandamana magari hayatembei hampati pesa na nyinyi andamaneni.
Sadifa: Mnasema Lipumba kapigwa, hajapigwa hapo, kaguswa tu, huwezi kumlinganisha Lipumba na Kikwete.
"KUNA TATIZO GANI LIPUMBA KUPIGWA?.....NAWAPONGEZA SANA POLISI"==>>HII NDIYO KAULI YA LUSINDE BUNGENI
Reviewed by Unknown
on
1:20:00 PM
Rating:
