TAZAMA VIDEO==>>HALIMA MDEE AKIWALIPUA ANDREW NA IDD SIMBA KWA UFISADI BUNGENI


Mara ya kwanza, Mdee alimhusisha Chenge na mkataba mbovu wa Kampuni ya Ndege (ATCL) uliosababisha Serikali kuingia hasara ya zaidi ya Sh bilioni 90.



Licha ya kumtaja kwenye ufisadi huo ambao kwa mujibu wa Mdee, Chenge ndiye alikuwa Waziri wa Wizara yenye dhamana na ATCL, pia alimtaja kuhusika katika kashfa nyinginezo ikiwemo suala la utoaji takribani Sh bilioni 200, katika iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow ya Benki Kuu (BoT)

Angalia Hapa Chini Video Jinsi Halimaa Mdee Alivyokuwa anawalipua Bungeni:
TAZAMA VIDEO==>>HALIMA MDEE AKIWALIPUA ANDREW NA IDD SIMBA KWA UFISADI BUNGENI TAZAMA VIDEO==>>HALIMA MDEE AKIWALIPUA ANDREW NA IDD SIMBA KWA UFISADI BUNGENI Reviewed by Unknown on 1:35:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.