AGNES MASOGANGE AKANA TUHUMA ZA KUTOKA NA KING LAWRENCE, SAA YA MKONONI YALETA UTATA


 Baada ya Mrembo Agness Masogange Aishie Njia South Afrika kupost kwenye instagram Picha ya Mkono wa Mwanaume wenye saa nyeusi, watu na page mbali mbali walianza kumshambulia na kusema mkono huo ni wa King Lawrenc na wengine kuandika kuwa ni project mpya, Agness Masogane Amejitokeza na kuandika haya instagram:

"Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio kukurupuka tu na kuongea ongea ovyo"
AGNES MASOGANGE AKANA TUHUMA ZA KUTOKA NA KING LAWRENCE, SAA YA MKONONI YALETA UTATA AGNES MASOGANGE AKANA TUHUMA ZA KUTOKA NA KING LAWRENCE, SAA YA MKONONI YALETA UTATA Reviewed by Unknown on 4:01:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.