MWIGIZAJI BOND NA WILLIAM MTITU NDANI YA BEEF ZITO,BAADA YA MTITU KUSEMA YEYE NDIO ATAKAYE MZIKA SIO WAHINDI

Na Hamida Hassan/Amani

Mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, Bond Bin Salim  ‘Bond’ hivi karibuni amemtupia kijembe msanii na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Five Efects,’ William Mtitu kwa kuhmwambia kuwa msemo wake wa kuwazika watu yeye ndiye anawaua?

“Namshangaa Mtitu, naomba ahojiwe, je, yeye ndiye anawaua wasanii? Kwa nini anapenda kusema mimi ndiyo nitakuzika siyo Mhindi?” alihoji Bond.

Baada ya kijembe hicho mwandishi wetu alimwendea hewani Mtitu ambaye alifafanua msemo wake na kusema: “Mimi ninavyojua huo ni msemo, hivi wasanii wakifariki si tunazikana wenyewe kwa wenyewe? Je, kuna ubaya gani wa kusema mimi ndiyo nitakuzika? Sipendi kumuongelea Bond kwa sababu ni mdogo san
MWIGIZAJI BOND NA WILLIAM MTITU NDANI YA BEEF ZITO,BAADA YA MTITU KUSEMA YEYE NDIO ATAKAYE MZIKA SIO WAHINDI MWIGIZAJI BOND NA WILLIAM MTITU NDANI YA BEEF ZITO,BAADA YA MTITU KUSEMA YEYE NDIO ATAKAYE MZIKA SIO WAHINDI Reviewed by Unknown on 11:15:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.