RIYAMA AMSHUKURU MUNGU KWA KUMKUTANISHA NA MZEE ONYANGO..!!


"Leo nimekutana na baba yangu kipenzi changu kipenzi cha wengi Mzee onyango Dah asante mungu nilikua namuona katika TV kabla sijawa msanii wala sijafikiri kua msanii leo kwa mapenzi yako umenikutanisha nae kweli mungu mwema sana nawajali na wa heshimu na kuwapenda walio nitangulia katika TASNIA hii ya uigizaji kwani wao ndio kioo changu Nawapenda sanaaaaaaaaaa mungu


atuwekee amin"-Riyama amabe ni moja kati waigizaji wa kike wanaofanya vizuri kwasasa hapa Bongo aliandika hayo mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu mtandaoni.
Kiukweli mzee Onyango ni moja kati ya watu wanaopaswa kuheshimiwa katika tasnia hii ya uigizaji kwa kile alichokifanya na anachoendelea kukifanya
RIYAMA AMSHUKURU MUNGU KWA KUMKUTANISHA NA MZEE ONYANGO..!! RIYAMA AMSHUKURU MUNGU KWA KUMKUTANISHA NA MZEE ONYANGO..!! Reviewed by Unknown on 10:46:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.