JIDE AFUNGUKA==>> KAZI YA MZIKI NZURI JAMANI, NILITOKA KWETU NA ELFU 6 NIKARUDI MKOBA UMEJAA, AONYESHA PESA ALIZOTUNZWA JUKWAANI


Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.

Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha.....



noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.

Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana @niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “

~Bongo5
JIDE AFUNGUKA==>> KAZI YA MZIKI NZURI JAMANI, NILITOKA KWETU NA ELFU 6 NIKARUDI MKOBA UMEJAA, AONYESHA PESA ALIZOTUNZWA JUKWAANI JIDE AFUNGUKA==>> KAZI YA MZIKI NZURI JAMANI, NILITOKA KWETU NA ELFU 6 NIKARUDI MKOBA UMEJAA, AONYESHA PESA ALIZOTUNZWA JUKWAANI Reviewed by Unknown on 11:23:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.