IRENE UWOYA AFUNGUKA==>>SIKU ZOTE NIATAMUHESHIMU RAY, NI MTU MUHIMU SANA KWANGU


‘Shukrani’ ni kitu muhimu na ni jambo jema sio hapa dunia tu hata huko mbinguni (Kwa wanoamini), ni vyema kumshuru Mungu kwa kila jambo na vile vile kuwashukuru watu ambao kwa namna moja au nyingine wamekusaidia kufikia hapo ulipo.
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Irene Uwoya amekuwa sio mchoyo wa fadhira kwa kumshukuru hadharani muongozaji na mwigizaji wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ kwa kuwa ni moja ya watu waliomsaidia katika sanaa.

Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM, Irene Uwoya aliweka picha hiyo hapo juu, akiwa na Ray na kuandika maneno haya.

“Siku zote siwezi kuacha Kuku heshimu wewe ni mtu muhimu sana kwenye safari yangu ya sanaaa!GOD BLESS UUU”
Kitendo hiki cha Irene kilipongezwa wengi kuwa ni jambo la msingi na lakuigwa na sio wasanii tu bali watu wote, kwani ni mara chache sana watu kuwa shukuru hadharani kama hivi watu amabo walisaidia katika mafaniokio yao.
Hili ni jambo jema safi sana Irene na heshima kwako Ray.
IRENE UWOYA AFUNGUKA==>>SIKU ZOTE NIATAMUHESHIMU RAY, NI MTU MUHIMU SANA KWANGU IRENE UWOYA AFUNGUKA==>>SIKU ZOTE NIATAMUHESHIMU RAY, NI MTU MUHIMU SANA KWANGU Reviewed by Unknown on 9:52:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.