JIONEE PICHA ZA SHEREHE YA THT KUSHEHEREKEA MIAKA 10 , AMINI ATOA MACHOZI JUKWAANI NA MKEWE KWA FURAHA


Amini Akilia jukwaani na Mkewe
Jana Jumba la Vipaji Tanzania THT walisherehekea Miaka Kumi toka Kuanzishwa Kwake Pale Escape 1, Mambo yalikuwa matamu sana kwani wasanii wote walio.....



pitia katika Jumba Hilo la Vipaji walitoa Burudani safi kabisa ya live na kufanikiwa kuwagonga nyoyo mashabiki waliofurika kushuhudia Tukio Hilo...Mpiga picha waUdaku Specially Eli Ulomi Aliweza Kupata Matukio Mbali Mbali Likiwemo la Amini na Mkewe Kulia Kwa Furaha Jukwaani , Amini na Mkewe wote ni zao la THT , walikutana Hapo na Mwisho ikazaliwa Ndoa..















JIONEE PICHA ZA SHEREHE YA THT KUSHEHEREKEA MIAKA 10 , AMINI ATOA MACHOZI JUKWAANI NA MKEWE KWA FURAHA JIONEE PICHA ZA SHEREHE YA THT KUSHEHEREKEA MIAKA 10 , AMINI ATOA MACHOZI JUKWAANI NA MKEWE KWA FURAHA Reviewed by Unknown on 11:16:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.