BAADA YA KUACHWA NA DIAMOND==>>WEMA SEPETU SASA ATOKA NA STAR{MODEL} HUYU APA MTANZANIA ANAYEISHI SOUTH AFRICA,MSIKILIZE WEMA HAPA AKIFUNGUKA

Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.

Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.
Bonyeza play kuisikiliza  U Heard yote hapa mtu wangu.
BAADA YA KUACHWA NA DIAMOND==>>WEMA SEPETU SASA ATOKA NA STAR{MODEL} HUYU APA MTANZANIA ANAYEISHI SOUTH AFRICA,MSIKILIZE WEMA HAPA AKIFUNGUKA BAADA YA KUACHWA NA DIAMOND==>>WEMA SEPETU SASA ATOKA NA STAR{MODEL} HUYU APA MTANZANIA ANAYEISHI SOUTH AFRICA,MSIKILIZE WEMA HAPA AKIFUNGUKA Reviewed by Unknown on 4:24:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.