
‘’Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na ndugu zangu wachache na ndugu wa mume wangu sikutaka watu wengi niliogopa kupigwa juju na mume wangu asingenioa,’’alisema Wema.
Hata hivyo alipoulizwa kuhusu tatizo lake la kutoshika mimba alisema kuwa mumewe amelikubali na hana tatizo

Hongera sana Wema.
Wema Sepetu :Kweli Nimeolewa na Tayari Mimi ni Mke wa Mtu
Reviewed by Unknown
on
12:59:00 PM
Rating:
