WEMA SEPETU Awatolea Uvivu Wanaosema Ana Miguu Mibaya na Yenye Michirizi, Adai 'Iwe Mibaya iwe ina Makovu iwe na Michirizi ni Yangu'
.png)
“Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh... Sasa muache vifimbo vyangu... maana ndo Mungu alonibarikia navyo…” Wema ameandika kupitia ukurasa wake mtandaoni.
WEMA SEPETU Awatolea Uvivu Wanaosema Ana Miguu Mibaya na Yenye Michirizi, Adai 'Iwe Mibaya iwe ina Makovu iwe na Michirizi ni Yangu'
Reviewed by Unknown
on
12:59:00 AM
Rating:
.png)