Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani



Baada ya kuwapa majibu wale wote ambao waliokua wanadai kwamba ameshuka kiwango, hivi sasa watu wametaka kumjua zaidi huyo baby wa kipa Manyika Jr. Kama story ya kuwajibu wanaosema ameshuka kiwango cheki kwenye story za jana utaiona.


Detail za mpenzi wa Manyika Jr zimenifikia leo kwamba msichana huyo ambaye yupo mapenzini na kipa Manyika, alikua mpenzi wa msanii wa Yamoto Band Dogo Aslay.


Story zilitoka kwamba Aslay na Naima walikua mapenzi kiasi kwamba hadi Naima alichora tattoo ya jina la Aslay kwenye mkono wake.



Soudy Brown mzee wa udaku aliwai kutoa udaku kwambwa msichana huyo huyo Aslay aliporwa na msanii/mwanasoka Tundaman, lakini Tunda alikanusha habari hizo.


Lakini hivi sasa anaonekana yuko mapenzini na kipa Manyika na hii ni Baadhi ya Picha Wakiwa Kitandani .....
Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani  Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani Reviewed by Unknown on 12:57:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.