
Aidha injinia huyu wa majengo amesema japo nyumba inaonekana ina marembo mengi na nzuri lakini kama nayo ilijengwa kwa ratio hiyo iliyotumika kujenga ukuta basi kuna hatari ya nyumba yote kuanguka hapo baadae , Injinia huyo amemshauri Diamond Kuleta wataalamu na kuipima nyumba yote ili isije kuleta madhara makubwa
Diamond alifuatwa na kuambiwa lakini mwenyewe alisema kuwa fundi aliyejenga ukuta ni tofauti na aliyejenga nyumba hivyo anaamini nyumba ilijengwa katika ratio nzuri..
Udaku Special Blog
Injinia wa Majengo Adai Nyumba ya Diamond imejengwa Chini ya Kiwango..Amshauri Diamond kufanya Haya
Reviewed by Unknown
on
12:56:00 PM
Rating:
