NAY WA MITEGO AMPONZA GWAJIMA, WATU WATAKA MAJIBU YA DNA YA MTOTO WA FLORA MBASHA

Week Kadhaa zimepita sasa toka Nay wa Mitego alipotoa majibu ya DNA ya mtoto wake baada ya Utata kutokea kuwa Mtoto si wake, Majibu ya DNA yalitoka na yakaonyesha kweli mtoto ni wa Nay wa Mitego ..

Kutokana na uamuzi wa Nay wa Mitego wa kwenda kuhakikisha kama mtoto ni wake watu wameanza kuongea chini chini kuwa lazima na Emmanuel Mbasha aende kumpima mtoto wake na Flora Mbasha kwani naye ana utata baada ya mume wa Flora kumtuhumu Askofu Gwajima kuwa anamahusiano na Mke wake na ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika.....

Je wewe unamshaurije Emmanuel Mbasha?
NAY WA MITEGO AMPONZA GWAJIMA, WATU WATAKA MAJIBU YA DNA YA MTOTO WA FLORA MBASHA NAY WA MITEGO AMPONZA GWAJIMA, WATU WATAKA MAJIBU YA DNA YA MTOTO WA FLORA MBASHA Reviewed by Unknown on 2:56:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.