Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop

Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w
akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari


Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..

Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo..

Udaku Specially Blog
Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop Reviewed by Unknown on 12:50:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.