Shamsa Ford==>>Mnikome Kuanzia Leo Naishi Nitakavyo Mimi na Kufanya Kile Ambacho Nahic Kinafaida Kwangu

“Siku zote nimekuwa muoga kuishi maisha yangu kwa kuogopa watu but hao watu naowaogopa hata siku moja hawajawahi kuogopa kuishi maisha yao kwa kuniogopa mm..from today nitaishi nitakavyo mimi na kufanya kile ambacho nahic kinafaida na kunifurahisha katika maisha yangu.Mashabiki wangu wa ukweli kabisaa alionipangia Mungu hata niweje hawawezi Kunitoka na nitaendelea kuwapenda na kuwaheshimu kila siku..I love my family….” –Shamsa ameandika hayo leo kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Shamsa Ford==>>Mnikome Kuanzia Leo Naishi Nitakavyo Mimi na Kufanya Kile Ambacho Nahic Kinafaida Kwangu
Reviewed by Unknown
on
3:19:00 AM
Rating:
