Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la


Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?

Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo lake la kutopata ujauzito..
Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la Reviewed by Unknown on 2:39:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.