STAA WA FILAMU BONGO IRENE UWOYA AWAULIZA MASHABIKI WAKE KITU GANI WANAPENDA TOKA KWENYE MWILI YAKE





Mrembo na mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. Swali ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....

Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi wa mwanadada huyu ili nao wafunguke;
Uwoya aliuliza;

Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????
Kazi ni kwako!!!
Mzee wa Ubuyu
STAA WA FILAMU BONGO IRENE UWOYA AWAULIZA MASHABIKI WAKE KITU GANI WANAPENDA TOKA KWENYE MWILI YAKE STAA WA FILAMU BONGO IRENE UWOYA AWAULIZA MASHABIKI WAKE KITU GANI WANAPENDA TOKA KWENYE MWILI YAKE Reviewed by Unknown on 6:23:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.