Polisi Yatangaza Kiama Kwa Wanawake Wanao Fanya Biashara Haramu ya Ngono Mitaani na Nyumba za Starehe
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Imetoa
Mkwara Mkali kwa Wanawake wanaojiuza usiku katika mitaa na Kumbi mbali
mbali za Starehe , Mkuu huyo wa polisi amesema kuwa Bishara hiyo
inaleta usumbufu kwa wakazi wa Mkoa huo pia inazidi kuvunja maadili
kwani kwa sasa kutokana na uchunguzi uliofanyika mpaka watoto wadogo na
wanafunzi wanajihusisha na biashara hiyo haramu , Inasemekana mpaka
wanafunzi wanao kaa shule za boarding hutoroka usiku na kwenda kwenye
kumbi mbali mbali za starehe ili kujipatia kipato kwa kazi ya umalaya..
Kamanda huyo amesema kuwa msako huo Utaanza Muda wowote kuanzia Sasa.
Kamanda huyo amesema kuwa msako huo Utaanza Muda wowote kuanzia Sasa.
Polisi Yatangaza Kiama Kwa Wanawake Wanao Fanya Biashara Haramu ya Ngono Mitaani na Nyumba za Starehe
Reviewed by Unknown
on
5:37:00 AM
Rating: