NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA


Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeju yangu nyumbani kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.
NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA Reviewed by Unknown on 10:37:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.