MESEJI NNE ZA WOLPER ALIZOZIANDIKA MTANDAONI ZAWAACHA WATU MIDOMO WAZI==>>JE NANI ATAFUMBUA MAFUMBO HAYA??

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali  mtandaoni zenye maneno mazito  ambayo  yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.

 Mrembo huyu alianza na hizi jana;

“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”

“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down......”

Leo kaibuka na hizi;

“I don't regret the things I've done, I regret the things I didn't do when I had the chance...”

“There is only one thing makes a dream impossible to achieve the fear of failure.”

Wajuzi wa mambo ya kisaikolojia hebu mtusaidie hapa kunani? Kuna baadhi ya mashabiki wake wale "kindakindaki" wameniomba niilete hapa ili tuwasaidie wawe huru, kwani kwa sasa wapo……
MESEJI NNE ZA WOLPER ALIZOZIANDIKA MTANDAONI ZAWAACHA WATU MIDOMO WAZI==>>JE NANI ATAFUMBUA MAFUMBO HAYA?? MESEJI NNE ZA WOLPER ALIZOZIANDIKA MTANDAONI ZAWAACHA WATU MIDOMO WAZI==>>JE NANI ATAFUMBUA MAFUMBO HAYA?? Reviewed by Unknown on 1:05:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.