DUUH HAYO SIO MANENO YANGU JAMANI , GAZETI LA VISA LIMEANDIKA KATIKA UKURASA WA MBELE MANENO HAYO KAMA INAVYOONYESHA
Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015,
Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"
MAZITO YAIBUKA>>>DIAMOND PLATNUMZ AKATAA MILIONI MIA TANO ZA LOWASSA
Reviewed by Unknown
on
1:35:00 PM
Rating: