MATUKIO PICHA==>>SHOW YA JUX, VANESSA MDEE, AIKA NA NAHREAL YAFUNIKA HUKO VISIWANI ZANZIBAR



Usiku wa Jan 17 wakali wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, Jux, Nahreel na Aika wamepiga show ya nguvu iliyopewa jina la Love Kwa Ma Fans iliyofanyika kwenye uwanja wa Ngome Kongwe, Zanzibar.
Miongoni mwa wasanii walio share jukwaa kuamsha hisi za mashabiki kutokana na burudani kali ni Baby J pamoja na msanii kutoka Endless Fame Mirror.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye show hiyo.





Nahreel kwenye stage.

Aika akitoa burudani ya nguvu.





Jux akiimba kwa hisia.




Jux.

Mashabiki.

Vanessa Mdee akiwa jukwaani.

Vanessa Mdee jukwaani.

Vanessa Mdee akiimba kwa hisia.


Jux na Vanessa Mdee wakitoa burudani kwa mashabiki.

Vanessa Mdee na Jux wakiwa jukwaani.

Vanessa Mdee akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki.

Jux akitoa burudani jukwaani.
 

Aika na Nahreel.

Vanessa Mdee.

Jux.

Sahbiki akipiga picha aina ya Selfie na msanii Jux.

Jux akiwa na Baby J .

Baby J akiwa na Dancers wake.


Picha zote kwa hisani ya Millard Ayo!
MATUKIO PICHA==>>SHOW YA JUX, VANESSA MDEE, AIKA NA NAHREAL YAFUNIKA HUKO VISIWANI ZANZIBAR MATUKIO PICHA==>>SHOW YA JUX, VANESSA MDEE, AIKA NA NAHREAL YAFUNIKA HUKO VISIWANI ZANZIBAR Reviewed by Unknown on 10:06:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.