MAAJABU YA DUNIA==>> MTI WA MAAJABU UNAOGAWA "UTAJIRI" WAGUNDULIKA MBEYA, WANANCHI WAPIGANIA KUUPASUA MTI HUO


Wananchi wa kijiji cha Ijoka, Mkoani Mbeya wameingia kwenye imani za kishirikina baada ya kuandamana na kwenda kupasua mti ulianguka ambao wanadai una utajiri ndani yake.

Wakazi hao walisema walielezwa na mganga wa jadi kutoka Malawin Peter Lungola, kuwa mti huo ukitumiwa vyema utaleta utajiri.


Mganga huyo alifika kijiji humo miaka 20 iliyopitana kuwaeleza kuw amti huo  una asili kubwa ya utajiri na kuwa chini ya mti huo kuna nyumba za kifahari zilizojaa hazina kubwa ya fedha.

Inasemekana mti huo ulianguka wiki iliyopita na kuanza kupumua huku watu wakipata kiwewe huku nyoka mkubwa ambaye alipotea katika mazingira ya kutatanisha.


Wazee wa kijiji hicho walishangazwa na hatua ya baadhi ya watu kula majani ya mti huo huku wengine wakichukua magome yake na kuyahifadhi majumbani mwao
MAAJABU YA DUNIA==>> MTI WA MAAJABU UNAOGAWA "UTAJIRI" WAGUNDULIKA MBEYA, WANANCHI WAPIGANIA KUUPASUA MTI HUO MAAJABU YA DUNIA==>> MTI WA MAAJABU UNAOGAWA "UTAJIRI" WAGUNDULIKA MBEYA, WANANCHI WAPIGANIA KUUPASUA MTI HUO Reviewed by Unknown on 10:51:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.